Jakaya Kikwete 2010 win
As a nation,we all agree that peace and unity are the prerequisites for our development.It is our collective responsibility to embrace them in every step we take as we strive to reach higher destinations in developing our nation.
nakuomba Dr.kikwete utusaidie sisi wanyonge. na usiwasamehe mafisadi tena maana wengi ni marafiki zako na ningumu kuwatoa madarakani maana wengi walikuchangia.tafadhali unapochagua baraza la mawaziri mwaka huu usiwaweke watakutia aibu kama walio jiuzulu.tunaipenda nchi yetu na tunaipenda ccm lakini watu wanatushangaa kwasababu ya ufisadi watoe bwana usiwaachie tena.kwanza huwezi kua raisi tena baada ya miaka hii mitano ikiisha kwisha kazi sasa wasasambue wote nawe uachehistoria kama ya baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. kwa hakika najua hii umeisoma tena mwenyewe au watu wamekuambia hii habari yangu hapa.asante na nakuombea baraka.amen
ReplyDeletekaka natumaini una uelewa wa kutosha hapa kinakuwa kijiwe tu kikwete ana masikio dr slaa kaimba ufisadi nchi nzima lakini leo mafisadi wana gombea hata uspika na wana kesi mapaka za kuhua watu hapo siwanajua hata matokeo ya kesi zao
ReplyDeletepili kikwete kawekwe pale hana sauti hapa nikupiga kelele tu
hali ya tanzani anaijua sana tena vizuri mno
kaka hii isse una fuka tena moshi wa mafuta machafu chunguza kwanza mfumo wa watawala wetu maana sio viongozi wale hawana mpango na ukombozi wa mwananchi kama ungesema forum ya watu kutoa dukudu lao sawa lakini sio kumwambia kikwete hana muda huo wala mpango ana masilai kama angekuwa nao leo mafisadi wote wangekuwa jela au mahakamani tanzania ya leo sio ya uzugaji au kutafuta umaharufu watu wanashida sio kufanya mdhaa na maisha ya watu
ReplyDelete